Matokeo ya la saba 2019 yametanganzwa tazama hapa
Watoto wetu wamefanya mtihani wa kumaliza darasa la saba 2019 sasa tunasubiri matokeo ya darasa la saba 2019 basi tusubiri necta watatangaza tu na kujua ufaulu wa watoto wetu. Ningependa kushauri mambo machache wazazi na walezi hawa watoto wetu wanastahili kuendelezwa kielimu hata kama hawatafaulu mtihani wa darasa la saba 2019. Kufeli mtihani sio kufeli maisha, kuna shule za ufundi bado mtoto anaweza kuendelezwa hata kama angepa sifuri kwenye mitihani yote.
Nikupe mfano shule za binafsi ndizo zinazoongoza mitihani ya kidato cha nne taifa lakini ukifanya utafiti utakuta kama seminary watoto waliochukukuliwa kidato cha nne walikuwa wale waliofeli mtihani wa taifa na kukosa shule za serikali lakini ndio wanao ongoza mitihani ya Taifa olevel hapa tunajifunza kumbe kufeli darasa la saba sio kufeli kidato cha nne.
Ushauri mwingine jamani tusiwabague watoto wa kike tuwaendeleze kielimu kama watoto wa kiume, Kwanza nikwambie mzazi au mlezi ukiwa na mtoto wa kike mshukuru Mungu sana kwaku huyo ndiye atakayekutuza ukiwa mzee. madume yakishaanza maisha yanaendeleza na kupendelea upande wa wake zao hivyo na wewe mtoto wa kike akolewa atampeti peti mume wake mpaka apate pesa ya kukutumia hata kama elfu 20 tu. mtoto wa kile ni mali na sio mahali. Kama umeipenda makala hii itume kwa marafiki na ndugu kwenye magroup facebook whatsapp twitter nao wanufaike nayo. bonyeza shere hapo chini au kopi kisha iweke kama ilivyo kwenye mitandao ni ruksa kukopi.
Ijue App pekee inayo tengeneza ajira kwa vijana mtandaoni
Habari ndugu mtumiaji wa app hii, Leo nakutambusha app pekee ambayo ukiitumia utapata pesa kwa kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni. Ni app ya jamii huru. App hii inakuwezesha kutengeneza hadi laki 5 kwa mwezi kama wewe ni mbunifu.jamii huru pesa |
Siku hizi kuna mitandao mingi duniani kiasi kwamba wamiliki wa mitandao hiyo wanatakiwa kushindana kwa kutoa huduma bora kuliko wengine. Hivyo mtandao wa jamiihuru.com umekuja na huduma kabambe ambayo huwezi kuipata sehemu yoyote duniani hata ukiiipata basi tambua wameiga toka kwa kwa jamii huru social media.
Jamiihuru.com ina huduma hizi zifuatazo
1. Unalipwa sh elfu moja kwa kila mtu unayemsajiri kwenye mtandao huo. Yaani hakuna kusubiri mpaka zifike sh elfu 50 ili utumie hapana ukimsajiri mtu mmoja sh elfu moja yako inakuwa kwenye simu au mkononi na kuweza kuanza kuitumia.
2. Unalipwa kwa idadi ya likes unazopata kwenye page unayoendesha ndani ya jamiihuru.com mfano page yako ikipata likes 10000 unalipwa laki moja bila kuchelewa.
3. Unalipwa kwa kuandika makala original sehemu ya blog ndani ya jamiihuru.com makala 100 sawa na sh elfu elfu mbili au dola moja.
JIUNGE KWENYE GROUP LA WHATSAPP UIFUNZE ZAIDI KUHUSIANA NA KAZI HII BONYEZA LINK HII https://chat.whatsapp.com/KzGJZtHlhI9BipqXWyK1ni
TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019 https://results.necta.go.tz/results/2019/psle/psle.htm
Maelekezo mengine utayapata kwenye App unapoifungua tu bada ya kuidownload karibu ulimwengu wa teknolojia utajirike online.
Nimeona niandike ushauri huu baada ya kuona unatafuta sana kuhusu
matokeo darasa la saba 2019/2020
necta matokeo darasa la saba 2019
matokeo darasa la saba 2019/20
matokeo darasa la saba 2019 dar es salaam
matokeo ya darasa la saba 2019/20
matokeo ya darasa la saba 2019/2020
matokeo ya darasa la saba 2019 na shule walizopangiwa
matokeo ya mtihani darasa la saba 2019
Matokeo ya la saba 2019
Share makala hii na uwapendao bonyeza share button moja wapo hapa chini au kopi kisha paste popote online washirikishe nao wapate mawili matatu toka kwenye makala hii. asante kwa kushare na Mungu akubariki pamoja na watoto wako