Monday, December 25, 2017

Matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 fuatilia hapa

Unatafuta matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 fuatilia hapa utayapata kirahisi kuliko sehemu nyingine yoyote. Mtandao huu unakupa habari za kweli na uhakika zilizochujwa na ripota wetu waliobobea katika uandishi wa habari. Kabla ya yote ukitaka kujulishwa kwa haraka matokeo hayo yakitoka jisajiri kwenye mtandao huu ni dakika mbili tu na ni rahisi sana bonyeza hapa Kwa kujisajiri kwenye mtandao huu utaweza kujiingizia pesa kwa kucheza magemu. Ni rahisi sana kucheza games mtandaoni na ni michezo kama michezo mingine ya mpira wa miguu wachezaji wanalipwa na ni matajiri sana hivyo na wewe anza leo kucheza games zilizopo kwenye mtandao huu fuata maelekezo kwenye forum ya online games hapa hapa jamaa online kitengo cha games unaweza kutazama games zote kwa kubonyeza hapa

Matokeo ya kidato cha nne 2018/2019 form four results 2018/2019 New Updates Read here

PATA MKOPO LEO LEO KWENYE SMART PHONE YAKO

Fuata hatua hizi 3 kukopa

1. Pakua app kwa kubonyeza--> https://branch.co/download/66polk.

2. Ili upate mkopo mkubwa ambao hauna gharama kabisa na unalipia kidogo kidogo hakikisha sehemu ya *promo codes* unaweka herufi hizi bila kukosea 66polk

3. Mwisho kupata mkopo bonyeza sehemu ya *omba mkopo*
HAkikisha unapojisajiri kwenye promo codes unaweka herufi hizi 66polk ili upate mkopo mkubwa leo leo

Share ujumbe huu kwenye magroup whatsapp, telegram, instagram,facebook twitter upate mkopo mkubwa zaidi Leo Leo. Kadili unavyo sambaza zaidi ujumbe huu ndivyo unavyojiongezea mkopo mkubwa. Kopa bila kikomo

Nee updates matokeo yote ya kidato cha nne 2017 haya hapa

Link 1: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017 Tazama hapa
                         Au

Weka app ya matokeo ya mtihani kwenye simu yako ujulishwe matokeo ya darasa la pili 2018 matokeo ya darasa la saba 2018, matokeo ya kidato cha pili 2018, matokeo ya kidato cha nne 2018, matokeo ya kidato cha sita 2018
Waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2018/2019, form five selection 2017/2018 matokeo ya mechi ya leo, matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, matokeo ya uchaguzi 2020 matokeo yote yatakuja kwenye simu yako kila yakitangazwa. usitoe app hii pia unaweza kutafuta marafiki nchi nzima na utaoneshwa rafiki yupo umbali gani kutoka ulipo wewe. App hii inakupa matokeo halisi ya kitu unachotaka Bonyeza hapa download this app and discuss all topics you need from form one subjects to university subjects all are free resource download the app click here to download


Now you can get all past papers from form one to form six past papers read them online and discuss.

read this story, Once upon the time there was a girl who liked to start English so that one day she may get change to go abroad and start linguisting. This girl started very hard, she respected all teachers and fellow students. Every one admired this girl life style. She was a good example in that school. teachers liked this girl and each teacher in that school worked hard teaching all students and they supported much all students who liked to study like this girl


After doing the final exam of complaint the school the girl scored A+ in all subjects including the her favourite subject that was English Ohh it is amazing story after few moths after she got her results she was using a site know as jamaaonline.com searching for scholarship by asking people from various parts of the world  since she knew well communicating in English, Lack engongh one paster from USA Got the Girl and he send the girl flight fee so that she can go to that pastor in USA That was not fake paster the girl won the deal because that paster sponsored her everything to help the girl study linguistic in USA. Did you loved this story? What does this story teach us? Put your comment below

Kwa kujisajiri kwenye mtandao huu utajulishwa pindi matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 yatakapotangazwa na wizara husika. Hapa utaweza kuuliza swali lolote na wadau wa elimu wanaotembelea mtandao huu watakujibu bila hiyana. Taarifa ya matokeo hayo utatumiwa hadi kwenye email yako kama utajisajiri leo kwenye mtandao huu. Jisajiri kwenye mtandao huu bila kukosa ili usipitwe na habari zote za muhimu kwenye mtandao huu wa kizalendo wa jamaa online.

Tuongee kidogo kuhusu mtihani wa kidato cha nne 2017 uliuonaje ulikuwa mgumu au rahisi. mwanafunzi uliyefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 njoo tuzungumze tupe changamoto ulizokutana nazo kwenye maandalizi mpaka siku ya kufanya mtihani wako wa kumaliza kidato cha nne 2017. Una tajaria nini matokeo hayo yakitoka kufaulu au kufeli? Yote ni matarajio. usiweke mawazo ya kufaulu tu weka na mawazo ya kufeli ili uweze kujiandaa vizuri kuyapokea matokeo yako vizuri. Sema "chochote nitakachopata nitaridhika na kujipanga kwa maisha yajayo kama ni kuendelea na kidato cha tano 2018 au kujiunga na jeshi la wananchi tanzania au JKT au polisi au chuo chochote cha ufundi au kurudia mtihani kama sitapata alama za kujiunga na sehemu zote nazopenda." Ukiwa na mtazamo huu maisha yako hayatakuwa na stress mara tu ukipata matokeo na yakawa sivyo ulivyotarajia.
Join the social network that pays you when you become gorup admin click www.jamaaonline.com

Muda huu upo nyumbani je unajishughulisha na nini? au ndo kupoteza muda mtaani? Usifanye hivyo saidia kazi wazazi au walezi wako waliokuwezesha kufikia hatua hiyo ulivyofika ili waendelee kuwa na moyo wa kukusaidia kwa maisha yatakayofuata baada ya kuhitimu kidato cha nne 2017. Ewe binti uliyehitimu kidato cha nne 2017 usitafute mimba muda huu unaposubiri matokeo yako utakatisha ndoto zako za kuendelea na elimu inayofuata ya advanced level au chuo chochote cha ufundi. ni ngumu kusoma ukiwa na mtoto au mimba hivyo subiri mapenzi utafanya sana hadi utayachukia. kama tamaa za dunia tamaa za pesa kwa sasa achana nazo hakuna mvulana au mwanaume anayetoa misaada isiyo na riba. Utalipia kwa misaada unayowaomba wanaume hao au wavulana hao. Malipo yake ni kuharibiwa maisha yako kwa kuolewa mapema au kupewa mimba na kutelekezwa. Nawe mvulana uliyehitimu kidato cha nne 2017 usizadi sasa wewe ni baba wa familia, bado ni mwanafunzi hiyo level ya elimu kwa sasa ni kama shule ya msingi bado safari ni ndefu sana. wasikilize wazazi na walezi wako usinyee kambi bado ipo siku kambi hiyo utaihitaji kwa kulala . Endelea kusubiri matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 Utajulishwa hapa hapa jamaa online

0 blogger: