Sunday, December 28, 2014

Fuatilia hapa  habari za tovuti zote za serikali kwa dakika moja
Sasa unaweza kusoma habari zilizoandikwa kwenye tovuti zote za serikali na mashirika binafsi au makampuni kwa dakika moja tu. usipoteze muda na pesa kuingia kila tovuti au website kuangalia kuna nini kipya.

Kwa kutembelea mtandao huu utaweza kuzijua tovuti zote za serikali na za makampuni binafsi pamoja na habari tano zilizowekwa muda wa karibuni.

Ukitaka kujua habari za blogs zote za tanzania basi ingia www.blogssummary.blogspot.com. Hapo utasoma habari za blog zote za bongo kwa dakika 3 tu na kujua kipi kipya tanzania habari iliyopewa kipaumbele kwa saa husika. Kisa sekunde habari mpya inawekwa na kuna waandishi wa blog wasiopungua mia sita.

Ukitaka kujua habari za blogs za afrika mashariki ni hapo hapo www.blogssummary.blogspot.com blog za kenya na blog za uganda zipo hapo

Saturday, June 28, 2014

Wednesday, May 14, 2014

WANAOMWIMBIA MUNGU HAWAZEEKI
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti.

Umewahi kujiuliza kwa nini waimbaji wengi hawazeeki? Ziko sababu kadhaa za kwa nini hawazeeki na hapa kwa kuwakaribisha nitatoa chache na kuziweka kwenu kwa uchambuzi zaidi.

  1. Kitendo cha kupanua mdomo na kufunga huku ukivuta pumzi na kuimba kunazuia makunyanzi usoni.
  2. Kuimba ni mazoezi.
  3. Kuimba ni kuabudu.
  4. Kuimba kunakuletea nguvu ya Mungu jirani sana.
  5. Kuimba kunafurahisha na kunasambaza hewa ya kutosha mwilini.
Kuimba ni tiba. Na tiba ni muhimu kwa kila jambo linalohusiana na uzima wetu.

JE UKO TAYARI SASA KUIMBA? ANZA SASA